Audio | Harmonize - Kwangwaru | Mp3 Download


Harmonize - KWANGARU 
 Msanii kutoka kundi la WCB ajulikanae kwa jina la HARMONIZE Leo Ametangaza Ujio wa Nyimbo yake mpya itakayo kuja kwa Jina la KWANGARU so kama wewe ni Mdau wa WCB na HARMONIZE stay cool Mzigo mpya unakuja Hapa hapa endelea kututembelea kila Siku.